Monday, July 11, 2016

#Smithmaiproducts


Mpaka kufikia tarehe 20/05/2016 Kampuni smithmai ilifanikiwa kubuni na kutengeneza bidhaa saba na hivyo kufanikisha lengo la mwaka 2015/2016
Bidhaa hizo ni, Smithmaishoes, Smithmaishibe, Chai smithmai, SmithmaiChill, Bryceson Donati, Maiken beauty na Wastara wine
Smithmai chill ni appetizer ya chakula inayotengenezwa kwa kutumia chillies

Watara Wine ni kinywaji kipya kisichokua na kilevi kinachotengenezwa na matunda asili, chenye ladha ya wine

#Smithmaiday2016

Smithmaiday, ni siku maalum kwaajili ya kuhamasisha vijana kujiajiri na kuondokana na utegemezi wa kiuchumi, hufanyika mara moja kwa mwaka kila tarehe 27 ya mwezi wa tano, ambapo watu mbalimbali hualikwa kuzungumza na vijana na makundi mengine ya watu nkuhusiana na kujiajiri, pichani ni mkurugenzi wa Munat Investment akizungumzia jinsi alivyoanza kufanya shughuli zake za utengenezaji mabegi ya wanawake
Siku ya smithmaiday 2016 Wajasiriamali mbalimbali walipata fursa ya kuzungumza namna wanavyoendesha shughuli zao, pichani ni mjasiriamali mdogo wa bidhaa za pilipili akizungumza machache kwenye Smithmaiday 2016
Licha ya idadi ndogo ya vijana, wachache waliokuwepo walipata firsa ya kujifunza na kuongea na washiriki wa tukio hili kuhusu fursa zilizopo kwenye sekta mbalimbali
Safari hii baadhi ya wazazi walishiriki nasi kwenye tukio hili, pichani ni mana mzazi wa mwanzilishi wa Smithmai, Maimuna Kiganza.